Huu ni ulimbukeni au ndio ustaa?

Akikua ataacha, siku hz watu wana justify kila aina ya ujinga. Ngoja atekenywe na wadokoaji atajifunza maana hii ni invitation to treat.
 
Promo ya Natafuta Kiki hiyo jombaa! Hivi kwanini watu issue za mastaa mnazichukulia very serious?!
 
View attachment 355779

Wanajamvi naomba tusaidiane hapa maana labda umaskini wangu ndo unafanya nishangae
Sio ulimbukeni, Fight ulipize mkuu. Wapiganaji wote wapo hivyo...massanja, diamond, mayweather, 50, rich kids of insta, ma tycoon wa uarabuni, ma oligarch wa russia, ma tycoon wa china, abramovich ana yatch ya nguvu...
angalizo vijana wa JPM TRA...lazima wale sambamba uwape chao 18%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…