HUU NI UMBAYUWAYU AMA UKONG'OTA kushindwa kuwakopesha wanafunzi 1,3505?

HUU NI UMBAYUWAYU AMA UKONG'OTA kushindwa kuwakopesha wanafunzi 1,3505?

NIMIMI

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
170
Reaction score
16
Wana JF nina viulizo vingi sana kuhusu serikali hii Inayoongozwa na KiranJa wa MBAYUWAYU na KONG'OTA, Mkanganyiko hasa upo kwa bodi ya Mikopo (heslb) na TcU Juu ya kuwanyima watoto 13,505 wa makabwela mikopo kwa ajili ya kugharimia Elimu ya vyuo kwa sababu zisizo kuwa za msingi ambazo wengi mmezisoma pia tcu kushindwa kukukidhi kiwango cha utendaji wao hasa pale kunapokua na malalamiko dhidi yao? Ikiwa wanasiasa wanataka serikali yao iharakishe kuwaongezea fedha kwa ajili ya posho zao na starehe? Je huu ni Umbayuwayu ama Ukong'ota kwa serikali hii?
 
Back
Top Bottom