Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 175
sasa yeye fatu alivomuona jamila yuko bize mstari wa mbele anapiga picha hakuuliza huyu mtu ni nani wakati yeye fatu hamjui...dah jamani siku hizi watu tunaibiwa hivi hivi kwa macho yetu mchana kweeuuuppeeeee
We chaming sikia....Kuwa na mwanaume mmoja kujidai wa kwako pekeako ni UFISADI lazima uwaachie na wenzio...so hakuna baya hapo.:israel::loco:
Wanaosema Poa! Wanapenda Mapenzi ya Kushare... ukimuudhi tu Anamcall Jamila hahahahaha