Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Lishe iko poa mkubwa bt ktk hizo bao 2 mzigo unamwagika wa kutosha hasa namba 1.Hakuna ukosefu wa nguvu za kiume hapo ni kawaida tu baada ya mabao 2 kuchukua muda huo,swala la kutotoa maji ya uzima ni swala la lishe kama lishe siyo ya uhakika lazima utoe upepo badala ya maji ya uzima.
Hata hivyo nguvu za kiume hazipimwi kwa wingi wa mabao,wengine bao 1 au mbili siku inaisha hiyo na wana nguvu za kutosha,ila wameamua hivyo.
Badala ya kuwaza bao 5 au 10 ungewaza ufanye nini ili mwenzako afike kileleni mara nyingi hata kwa bao 1 la kwako.
by the way umeoa?