Huu ni urembo au zaidi ya urembo?

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
1,639
Reaction score
519
Kipindi cha nyuma, watu waliaanza kuvaa vikuku au cheni za mguuni; watu walihushisha na vitendo vya kufanya mapenzi tofauti na utaratibu.Pamoja na hayo, watu wengine walihusisha vitendo hivyo na urembo tu wa kawaid !.
Siku hizi nimekuwa nikiona watu wamevaa pete katika vidole tofauti tofauti hadi dole ngumba bila kusahau la kati.
Hii ni kwa wanawake na wanaume. Kwa ufahamu wangu mimi, kidole cha ndoa au mahusiano ni kile cha pili kutoka kwenye kidole kidogo.

WanaJF, napenda kuuliza, je huu ni urembo tu au ni zaidi ya urembo?
Tafadhari, mwenye kufahamu atujulisha maana na aina ya uvaaji wa pete na vikuku.

Nawakilisha.
 
pete pambo la vidole
kikukuu pambo la mguu
MadameX naona umeanza na 'general meaning' !
Nafikiri utakuja na 'speficic meaning'
Vipi zile za ndoa, nazo ni pambo la vidole?
 
Mmh, am too old fashioned to understand this.
 
ni pambo tosha
huoni Married But Available (MBA's) walivyo wengi, wake kwa waume.

MadameX naona umeanza na 'general meaning' !
Nafikiri utakuja na 'speficic meaning'
Vipi zile za ndoa, nazo ni pambo la vidole?
 
Maendeleo maana yake kuongeza hatuwa zaidi! Hivyo kuongeza idadi ya pete ni maendeleo.
 
Wanakuchanganya ili usielewe kama yuko ndani ya ndoa, ili isiwe tabu kutupa ndoano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…