Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 27, 2024 #1 Mzee huko Facebook alipost Uzi wa wanawake ambao amewahi kulala nao, kama 30 na zaidi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 27, 2024 Thread starter #2
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 27, 2024 Thread starter #3
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 27, 2024 Thread starter #4
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Oct 27, 2024 #5 Ni ushamba haswa
DR Mambo Jambo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 11,622 Reaction score 26,005 Oct 27, 2024 #6 Duh Huu Ni ujinga Pro Max Ninahisi Ujana wake Hakuwahi kupata Vitu kama hivyo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 27, 2024 Thread starter #7 Half american said: Ni ushamba haswa Click to expand... Mmoja tu ndio kabinti sawa na mjukuu wake
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Oct 27, 2024 #8 DR Mambo Jambo said: Duh Huu Ni ujinga Pro Max Ninahisi Ujana wake Hakuwahi kupata Vitu kama hivyo Click to expand... Kabisa, Mzee kajidhalilisha
DR Mambo Jambo said: Duh Huu Ni ujinga Pro Max Ninahisi Ujana wake Hakuwahi kupata Vitu kama hivyo Click to expand... Kabisa, Mzee kajidhalilisha
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 27, 2024 Thread starter #9 DR Mambo Jambo said: Duh Huu Ni ujinga Pro Max Ninahisi Ujana wake Hakuwahi kupata Vitu kama hivyo Click to expand... Halafu mavazi yake hayaendani na hizo picha
DR Mambo Jambo said: Duh Huu Ni ujinga Pro Max Ninahisi Ujana wake Hakuwahi kupata Vitu kama hivyo Click to expand... Halafu mavazi yake hayaendani na hizo picha
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 Oct 27, 2024 #10 Kila mtu anajivunia accomplishment yake maishani.
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Oct 27, 2024 #11 Kuna jamaa yetu tuko chuo ndo ulikuwa mtindo wake huu. Anawaweka status 😂
pigzz Senior Member Joined Sep 9, 2024 Posts 154 Reaction score 257 Oct 27, 2024 #12 Mkuu hil tatizo la afya ya akil n mungu ATUSAIDIE
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Oct 27, 2024 #13 Mshana Jr said: Mmoja tu ndio kabinti sawa na mjukuu wakeView attachment 3136539 Click to expand... Huyo mzee sio mzima
Mshana Jr said: Mmoja tu ndio kabinti sawa na mjukuu wakeView attachment 3136539 Click to expand... Huyo mzee sio mzima
Mr IQ JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 1,024 Reaction score 1,377 Oct 27, 2024 #14 Akili yake ndogo, Mzee wa ovyo
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Oct 27, 2024 #15 nasubiri picha 30 ndio niongee zaidi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 27, 2024 Thread starter #16 Kalaga Baho Nongwa said: Kuna jamaa yetu tuko chuo ndo ulikuwa mtindo wake huu. Anawaweka status 😂 Click to expand... Duh
Kalaga Baho Nongwa said: Kuna jamaa yetu tuko chuo ndo ulikuwa mtindo wake huu. Anawaweka status 😂 Click to expand... Duh
lufakale JF-Expert Member Joined May 13, 2023 Posts 321 Reaction score 566 Oct 27, 2024 #17 😁Acha mzee ale pensheni kwa raha zake
Dede 01 JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 1,182 Reaction score 2,248 Oct 27, 2024 #18 Dah! kumbe sio tu watoto wa 2000 bali hata wazee wa 2000 nao wanashida.
Dede 01 JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 1,182 Reaction score 2,248 Oct 27, 2024 #19 Sidhani kama watoto na wajukuu wake nao watakuwa waaminifu.
walikuyu JF-Expert Member Joined Jul 27, 2018 Posts 934 Reaction score 1,981 Oct 27, 2024 #20 Uyo mzee ni mpumbavu kiwango cha lami hana akili atakuwa na ugonjwa wa afya ya akili