kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 456
- 833
Alikua hana hela au laa alikua anakopa kwa mama ntilie alivokuja beki tatu mpya kashindwa jinsi ya kumuingia kumkopaKutoboa pua ina uhusiano gani na msosi uliokuwa unaupenda sasa huupendi tena kisa kuna mhudumu katoboa pua? [emoji15][emoji15][emoji15]
Siyo kila kitu lazima ukielewe vingine acha vikupite tu, acha watoboe pua zao maadam hazikuzuii kuishi maisha yako.amani iwe nanyi!
.
ndugu zangu kuna hivi vihereni vya puani, dah yaan mdada akivaa nakosa kabisa ile kuvutiwa kukaa nae hata kupiga story tuu, yaan akinipikia naweza kabisa nisile alichokipika, kuna mama nilikua mteja wake mzuri sana wa chakula chake, kuna binti mzuri tuu alimleta, aisee akaja kutoboa pua, nimeshindwa kabisa kufika pale, au nina tatizo binafsi [emoji23][emoji23],
.
.
wadada hua mnafurahia urembo huu?
Sijawahi kuvitiwa na mrembo mwenye hicho kipini au kikukuKwakweli hata mie huo urembo sijawahi kuuelewa kabisa, japo wapo wanaopendeza ila wengine wanakua kama nguruwe....
Daah! Hapo kwa wengine wanakuwa kama nguruwe......Kwakweli hata mie huo urembo sijawahi kuuelewa kabisa, japo wapo wanaopendeza ila wengine wanakua kama nguruwe....
Mkono = BangilSiku hizi kila sehemu ya mwili wa mwanamke inahitaji hela.
Kichwa = kusuka.
Vidole = pete.
Kucha = rangi/kucha za bandia.
Kiuno = shanga/cheni.
Mdomo = kuna rangi zake.
Macho = viini vya machoni.
Sikio = hereni.
Pua = kipini.
Chakula cha mtoto = sidilia.
Duh! Hadi nimechoka.