Huu ni ushauri wangu kwa Young Killer baada ya kutoa sinaga swaga

ndo maana mnaambiwa hiphop ni ngumu kuielewa hamsikii, kwa taarifa yako hilo ni fumbo kwa diamond(simba) na kiba (yanga), HIPHOP yahitaji umakini kuielewa.
Una akili ndogo sana nahisi kila ukilla unamuota kiba na mond
 
kiba kujulikana kuwa ye ni yanga sio tatizo, tatizo ni kutumia kaz yako ya usanii kuiponda jamii au kikund flan, labda nikuulize ni wimbo gani wa kiba unamstari wa UYANGA na USIMBA???
 
kile ni kipindi cha kampeni ndugu hivyo ni kawaida sana kumwona msanii flan kwenye jukwaa la chama flan, labda nikuulize baada ya uchaguz umemwona tena msanii akipanda kwenye majukwaa ya siasa?
 
uwe mwelewa mkuu ...
ni wimbo gani wa snoop doggy, drake wameimba kuisifia man u?
huyo usain bolt wapi umemwona akikimbia huku amebeba nembo ya man u?
 
Dogo mkali wewe hakuna kitu alichoharibu ,,yaan mech tu je wale waliokuwa CCM mbona bado mnawasapoti na mmeshasahau kabisa ,,, kuwa msanii hakumfanyi asiweze kuchagua anachokipenda
kile ni kipind cha kampeni, kwan baada ya uchaguzi kuisha ushawaona wale wasanii waliokuwa wanatumika ccm kpnd kile cha uchaguzi wakitunga nyimbo tena kuisifia ccm?
 
Kiukweli dogo kapaniki alichokifanya humo ni kutema povu tu kwa watu anaodhani ni maadui zake
 
"WAMBIENI SIMBA YANGA, TOTO NDO MABINGWA.."

Diamond anajiita simba, mr blue nae simba...

jiongeze mwenyewe[emoji18]
 
Hamaanishi Simba na Yanga timu za soka amewaza zaidi ya hapo....


Dunia Uwanja wa Fujo
 
Yanga ni nyumbu, ukitaka kukusanya mpunga mwingi wasifie, kama magazeti. Hivyo dogo mjanja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…