Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Kuandika hivi na kukosa mada muhimu nao ni ushenziKudhurumu mabeki tatu...ni ushenzi
Kufia gest na mke/mume wa mtu..... ni ushenzi
Simu kuita kanisani...ni ushenzi
Kwenda kazini huku umelewa...ni ushenzi
Kumpiga sound anayekudai...ni ushenzii
Kuwadharau maskini .....ni ushenzi
Kuficha mvi kwa kupaka pico...ni ushenzi
Kuvuta sigara mbele za watu..ni ushenzi
Kuwachongea wenzako kazini...ni ushenzi pia
Kumpiga.mkeo ni..ushenzi wa hd
Mapenzi kabla ya ndoa ...ushenzi sana
Kuchat masaa ya kazi....ni ushenzi mkubwa
Kutohudhuria misibani ...ni ushenzi mkubwa
Huu pia ...ni ushenziMuandiko m'baya
Kudhurumu mabeki tatu...ni ushenzi
Kufia gest na mke/mume wa mtu..... ni ushenzi
Simu kuita kanisani...ni ushenzi
Kwenda kazini huku umelewa...ni ushenzi
Kumpiga sound anayekudai...ni ushenzii
Kuwadharau maskini .....ni ushenzi
Kuficha mvi kwa kupaka pico...ni ushenzi
Kuvuta sigara mbele za watu..ni ushenzi
Kuwachongea wenzako kazini...ni ushenzi pia
Kumpiga.mkeo ni..ushenzi wa hd
Mapenzi kabla ya ndoa ...ushenzi sana
Kuchat masaa ya kazi....ni ushenzi mkubwa
Kutohudhuria misibani ...ni ushenzi mkubwa
Tena ushenzi wa kishenziKuiba kura ni ushenzi
Kuweka ruti ya ndege dar-chato...... Ni ushenzi mkubwa.Kudhurumu mabeki tatu...ni ushenzi
Kufia gest na mke/mume wa mtu..... ni ushenzi
Simu kuita kanisani...ni ushenzi
Kwenda kazini huku umelewa...ni ushenzi
Kumpiga sound anayekudai...ni ushenzii
Kuwadharau maskini .....ni ushenzi
Kuficha mvi kwa kupaka pico...ni ushenzi
Kuvuta sigara mbele za watu..ni ushenzi
Kuwachongea wenzako kazini...ni ushenzi pia
Kumpiga.mkeo ni..ushenzi wa hd
Mapenzi kabla ya ndoa ...ushenzi sana
Kuchat masaa ya kazi....ni ushenzi mkubwa
Kutohudhuria misibani ...ni ushenzi mkubwa
Sijaingilia kazi ya mtu mimi..utakuwa ni ushenziUsiingilie kazi za hip hop wanzofanya kina nei wa mitegoo... Unafeli mzee kuwachana watu weng kweny mada moja
Hahahaha...Kuweka ruti ya ndege dar-chato...... Ni ushenzi mkubwa.
Au nasema uwongo ndugu yanguKutamka neno ushenzi au kuliandika hadharani ni USHENZI mkubwa.
Kweli kabisaAu nasema uwongo ndugu yangu