Si ndio maana tunashindwa kwa kila jambo? Hivi sisi nani alituroga? Tunaweza lipi sasa? Kana ni michezo tunashindwa, Siasa ndo usiseme, kuvuna raslimali hapo ndo kwisha habari yetu, Elimu sasa kuna divisheni V, Bungeni sasa safari hii tunamtaka Spika Mwanamke, Usishangae uchaguzi ujao ikapita sera kwamba sasa tunamtaka rais Mwamamke.