Huu ni uzembe au ni makosa ya wizara ya elimu?

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,602
Reaction score
5,809
Huu ni Uzembe au ni makosa ya wizara ya elimu?

Baada ya serikali kuwapanga vijana wa kidato cha tano haya yamejitokeza,

1. Watoto wa kiume wamepangwa shule za girls tupu.

2. Majina ya watoto wa kiume kuchanganywa na ya watoto wa kike.

3. Result Slip kuwa na jina tofauti na picha.

Huu ni uzembe ama ni makosa ya kiufundi?
 
Hawakupanga wizara ya elimu

Uzembe tu! Na si hapo tu kila sehem inayoguswa na selikari uzembe kama uo upo mfano hazina walitoa mishahara kwa baadhi ya waalim ya miezi miwili wengine wakakosa miezi yote na wengine wakapata mwezi mmoja hawana maelezo ya maana shida tupu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…