Huu ni uzi maalumu wa kupeana mbinu kwa wachezaji wa macasino ya mtandaoni. Tahadhari hii michezo sio ajira, cheza kwa kiasi ambacho ukipoteza hutaumia , ba jua ni muda upi unatakiwa kumpumzika.
Casino maarufu zaidi Tanzania
1. Aviator Hii inawachezaji kila kona ya nchi , kumbuka kila kmpuni inanunua features zake kitofauti, kuna kampuni ukicheza nilazima kikulambe
2. Spin za Matunda/slots
3. Aztec gems, hii inatolewa na plagmatic play katika kampuni mbalimbali za kubeti,
4. Roulette , hii ni casino iliyopendwa zaidi miaka hiyo
Leteni mbinu tumpige mhindi