Huu ni uzi wa kwanza kwa mwaka 2019

Huu ni uzi wa kwanza kwa mwaka 2019

Nimeamshwa na hizo baruti sijui risasi nikasema kuna vita nini kumbe kuukaribisha mwaka saivi ndo najiandaa nikapige misele sasa kitaa huu mwaka utanikoma mbona heri ya mwaka mpya wanajamiiforums
 
Mwaka wa milango kuwa wazi. Milango ya uchumi, mafanikio, afya, raaluma, familia, kazi na kumjua Mungu zaidi
 

Attachments

  • IMG-20181230-WA0035.jpg
    IMG-20181230-WA0035.jpg
    20.9 KB · Views: 22
  • IMG-20181230-WA0035.jpg
    IMG-20181230-WA0035.jpg
    20.9 KB · Views: 20
CCM Ujinga wenu bado mnaenda nao 2019??
 
Back
Top Bottom