Huu ni uzi wa kwanza kwa mwaka 2019

Nimeamshwa na hizo baruti sijui risasi nikasema kuna vita nini kumbe kuukaribisha mwaka saivi ndo najiandaa nikapige misele sasa kitaa huu mwaka utanikoma mbona heri ya mwaka mpya wanajamiiforums
 
CCM Ujinga wenu bado mnaenda nao 2019??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…