Huu ni zaidi ya upendo kwa fiston mayele

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Leo FB nikutana Na post hii ya bakary kutoka cote d'ivoire alikuwa ame comment ikiwa mke wake atapata mtoto wa kiume atamuita jina fiston mayele ili kuonyesha upendo wake kwa mchezaji huyu anaye mkubali zaidi Barani afrika

Alafu akitokea mtu bongo tu kumuita mtoto wake fiston mayele ili kuonyesha upendo wake kwa mchezaji huyu Kuna watu wananuna utafikiri mtoto ni wao
 
Kuna mwanautopolo mmoja wa kiume aliwahi kusema abadilishwe jinsi awe ke ili amzalie mayele mtoto . Hata huyo nahisi ni utopolo anayeishi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…