GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Watu naona wamehoji sana 'posts' zangu nyingi za Kuanzia Jumamosi iliyopita tu hapa Jamvini ( JamiiForums ) huku wakisema kuwa imekuwaje GENTAMYCINE 'nimebadilika' ghafla. Natoa Jibu la jumla jumla kwani huenda wengi wenu ni Wageni Kwangu. Kuanzia sasa hadi Uchaguzi Mkuu nipo 'Kikampeni' zaidi kupitia Chama changu cha CCM na Mgombea wetu 'Mwamba' Rais Magufuli.
Mimi siyo 'Mpinzani' na haitotokea Maishani mwangu nikawa 'Upinzani' kwani nimezaliwa ndani ya CCM na nitafia ndani ya CCM yangu. Nimemaliza!
Mimi siyo 'Mpinzani' na haitotokea Maishani mwangu nikawa 'Upinzani' kwani nimezaliwa ndani ya CCM na nitafia ndani ya CCM yangu. Nimemaliza!