GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tunakujua njaa tu uko kwenye lile group la watu 2000 wa ccm kuwashambulia viongozi wa Chadema, njaa sana wewe
Swissme
Itatokea tu, maana CCM inakua cha upinzani very soon.Kuna Watu naona wamehoji sana 'posts' zangu nyingi za Kuanzia Jumamosi iliyopita tu hapa Jamvini ( JamiiForums ) huku wakisema kuwa imekuwaje GENTAMYCINE 'nimebadilika' ghafla. Natoa Jibu la jumla jumla kwani huenda wengi wenu ni Wageni Kwangu. Kuanzia sasa hadi Uchaguzi Mkuu nipo 'Kikampeni' zaidi kupitia Chama changu cha CCM na Mgombea wetu 'Mwamba' Rais Magufuli.
Mimi siyo 'Mpinzani' na haitotokea Maishani mwangu nikawa 'Upinzani' kwani nimezaliwa ndani ya CCM na nitafia ndani ya CCM yangu. Nimemaliza!
Mimi siyo 'Mpinzani' na haitotokea Maishani mwangu nikawa 'Upinzani' kwani nimezaliwa ndani ya CCM na nitafia ndani ya CCM yangu. Nimemaliza!.
Mkuu ,unge fafanua hapo kwenye hilo Neno nililokoleza wino mwekundu.Una maana ipi hasa ,Sababu umesha wapinga hata walio ndani ya CCM yako na mwisho utajipinga mwenyewe.
Sikutegemea Mtu kama Wewe 'Kuniuliza' hili Swali hasa kwakuwa najua jinsi ulivyo na 'IQ' Kubwa mno. Sijui 'Wahuni' wamedukua hii Akaunti yako?
Kuna Watu naona wamehoji sana 'posts' zangu nyingi za Kuanzia Jumamosi iliyopita tu hapa Jamvini ( JamiiForums ) huku wakisema kuwa imekuwaje GENTAMYCINE 'nimebadilika' ghafla. Natoa Jibu la jumla jumla kwani huenda wengi wenu ni Wageni Kwangu. Kuanzia sasa hadi Uchaguzi Mkuu nipo 'Kikampeni' zaidi kupitia Chama changu cha CCM na Mgombea wetu 'Mwamba' Rais Magufuli.
Mimi siyo 'Mpinzani' na haitotokea Maishani mwangu nikawa 'Upinzani' kwani nimezaliwa ndani ya CCM na nitafia ndani ya CCM yangu. Nimemaliza!
Genta. aka popoma nyie bado maisha yenu ni kutangatanga hamjasettle ndo maana unaishi Kama popo, leo CCM kesho chadema, kwenu siasa Ni ushabiki,Leo yameshakuwa haya? Sawa na je, nilivyokuwa 'naongoza' hapa JF 'Kuisema' CCM yangu na 'Kuibeba' CHADEMA yako Mbowe na Lissu walinilipa?
Sawa Mkuu ,endelea kubaki ndani ya CCM yako .
NDIO MAANA HUWA UNASIMAMIA UKWELI.Kuna Watu naona wamehoji sana 'posts' zangu nyingi za Kuanzia Jumamosi iliyopita tu hapa Jamvini ( JamiiForums ) huku wakisema kuwa imekuwaje GENTAMYCINE 'nimebadilika' ghafla. Natoa Jibu la jumla jumla kwani huenda wengi wenu ni Wageni Kwangu. Kuanzia sasa hadi Uchaguzi Mkuu nipo 'Kikampeni' zaidi kupitia Chama changu cha CCM na Mgombea wetu 'Mwamba' Rais Magufuli.
Mimi siyo 'Mpinzani' na haitotokea Maishani mwangu nikawa 'Upinzani' kwani nimezaliwa ndani ya CCM na nitafia ndani ya CCM yangu. Nimemaliza!
NDIO MAANA HUWA UNASIMAMIA UKWELI.
HONGERA SANA MKUU.
day dream!! Sawa sawa na kujidanganya kwamba unaweza ukauhamishia mlima Kilimanjaro DarItatokea tu, maana CCM inakua cha upinzani very soon.