Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
at first ur asked in multipleof 5000,it always fails and propted in multiple of 10,do u think is dat write?..it goes in a multiples of 10
Ni kweli kaka au ndy ilikuwa kuvutia wateja tu,kisha mkishakubali nikuburuzwa tu,mi ninadhani mi mteja na pesa ni zangu ninahaki ya kutoa kiasi ninachotaka haya mambo ya kupangiana kiasi mi naona ni ubabaishaji....hiyo ni wao wenyewe na sio mboni zamani ilikuwa inatoa hadi bukubuku siku washachoka dizaini..