Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Huu si uungwana matokeo yatoke lakini watoto wengine wawekewe withheld wakati ada ya mtihani wamelipia na kama haitoshi serikali ipo kimya muda wote toka tarehe 21 feb mpaka leo serikali haijasema matokeo ya hao watoto yatatoka lini.Huku ni kukandamizana mwenye pesa kwanza masikini imekula kwako,tunataka serikali iseme matokeo hayo yaliyokuja withheld yatatoka lini? Au ndo mnataka raia waandamane kisa kitu cha upuuzi.Wananchi tumechoka waziri ajiudhuru kwenye kiti chake.
SERIKALI ISEME KAMA YATATOKA AU HAYATOKI HICHI NDICHO TUNACHOTAKA UKWELI SIO KITU KINGINE
SERIKALI ISEME KAMA YATATOKA AU HAYATOKI HICHI NDICHO TUNACHOTAKA UKWELI SIO KITU KINGINE