Ya mdogo wangu yalizuiliwa pia, nikafuatilia shuleni kwasababu ada ya mtihani ilipwa wakaniambia hivi: "kwa miaka ya nyuma tulikuwa tunatuma pay slip kwenda wizarani kwa njia ya fax, lakini kuanzia mwaka 2013 hawakutaka tutume kwa njia hyo, lakini hawakutoa taarifa kabla, hvyo kwa matokeo yaliyozuiliwa taarifa za malipo zilitumwa kwa njia ya fax ". Baada ya kuona hvyo, wakamtuma mwl apeleke original paying slip, na baada ya siku 2 yakafunguliwa. Embu fuatilia shuleni kujua tatizo ni nini.