Huu sio UTU-kipindi cha TAKE ONE cha CLOUDS TV

Tunasafari ndefu hili la clouds nalo no bomu linalosubiri kulipuka ... maadili ya kazi ni lazima ujue kiswanglish na blah blah nyingi ama?
 

Story ya yule binti inasikitisha sana,Clouds walikosea sana kuionesha kwa TV,ni heri ingekua kipindi cha redioni.Nilikaa nikaimagine ni mdogo wangu amepitia huo mkasa mwili ukasisimka.Its so sad kwakweli.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Me mwenyewe nilishangaa wameshindwa kuziba hata uso wa yule dada? Kwa kweli clouds media wajipange sana, sidhani kama Zamaradi anajua ethics za kazi yake!
 
clouds siyo radio, ni genge la wahuni!
 
Jamani tusikurupuke na kusema hawa watu walikuwa unprofesional, kwa kwawaida huwezi kuonyesha sura ya mtu kama hajatoa ridhaa yake kwani hapo anaweza aku sue for breach of duty which is a tort. Lakini kama mtu ameridhia basi kutakuwa hakuna 'breach of Duty'.
Nakumbuka kwenye kipindi cha last week cha wanawake live walikuwa wanawahoji watoto wadogo na waliwaficha sura zao. sasa kwa huyo zamradi sijui makubaliano yake na huyo binti.
But either way i feel its best not to diclose their identity becase you never know nani anaangalia hicho kipindi.
Ni hayo tu.
 
Zamaradi kama unaskia ama wapambe wako wanapita humu..NAOMBA part II msiiendeleze..Haikuwa sahihi kumuuliza maswali ya kafanywa mara ngapi na upuuzi wa namna hiyo..nilitegemea ungejikita zaidi jinsi ya kuweza kumsaidia au kuomba wasamaria wema wamsaidie..It totally Unethical and Unprofessionally.

Maswali yalikuwa yakitoto mno...
 
Zamaradi hana ethics za uandishi wa habari, na huyo editor hakumhoji huyo binti kabla ya kurusha hewani? japo ilikuwa ni live. Eti ulilala na wanaume wangapi kwa siku? Soo what? Kwa nn ww Zama usianze na ww kazi hiyo? Quite unethical questions. Stop next session please. TCRA mpo wapiii? :crying: :crying:
 
Haya ndio makosa ya watangazaji wenyewe ambayo yana viponza vyombo vya habari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…