Hayawezi nikuta maana si mpenzi wa kuendesha malorysawa yatapokukuta nawe ufanye hivyo hivyo
Ahahaaaa...! Walikuwepo pia wanasubiri akung'utwe wamuombe hela ya tuition. Kweli kuna wanaume kama mabintiUtakuta kuna watoto wanamsubiria huyu baba yao atoke kazini......πΉ
Alafu naskia maroli ukiyaendesha kwa spindi yanapata sana ajaliπHayawezi nikuta maana si mpenzi wa kuendesha malory
Ndio si unasikiaga yanafeli break, kuyacontrol ni ngumu ndio maana mtoa mada akala kichapoAlafu naskia maroli ukiyaendesha kwa spindi yanapata sana ajaliπ
SawaMshangazi kanikwida nakunipiga kama mwanae katumia unene wake kama siraha dhidi yangu,kanilalia nikashindwa kuinuka akaanza kunipiga makofi ya mgongo hachagui.. nilipojitahidi kuinuka akanizoga kwenye kona huku amenikaba vilivyo!.
akaona haitoshi kwa kutumia kiganja chake kinene akaamua aumize mali zangu za asili na akaniita mimi "zwazwa".
kisa cha haya yote alifuma meseji ya mwanamke mwengine na nikashindwa kuitolea ufafanuzi ulioeleweka!.
Hata hivyo sijapenda kwa alichokifanya huu ni ukiukwaji wa haki za kibinadamu!, nafikiri anafaa kabisa kukutana na vyombo vya sheria sema naona aibu nitaonekana janamume lisilona staha!.
kwani kile chombo cha haki za wanaume kimefia wapi,sio kwa maumivu haya amening'ata mpaka kwenye mbavu!.
Best comment ever πππUtakuta kuna watoto wanamsubiria huyu baba yao atoke kazini......πΉ
Mkuu unasema alikukalia mgongoni, una uhakika nyara ya sirikali iko salama kweli?akaamua aumize mali zangu za asili
Kikao kilikuaje wakuu..KENZY na Poor Brain baadae kuna kikao saa nne usiku. Wageni rasmi ni nyie
Hahaa πhaha! punguza fikra potofu!
Bado muda, saa nne usikuKikao kilikuaje wakuu..
Nilikua na shemeji yenu...ππππ
Basi twawapoteza vijanaHahaha huko mimi sipo mkuu