Sawa sawaHapana.
Mimi hujanipa taarifa za kikao bwana afu mada ni ipi mkuuKENZY na Poor Brain baadae kuna kikao saa nne usiku. Wageni rasmi ni nyie
Mhusika kagoma, tulitaka tuwakalishe chini KENZY na Poor Brain waachane na mashangazi... Nageuka nyuma mr kenzy hayupo katoroka na mabegiπMimi hujanipa taarifa za kikao bwana afu mada ni ipi mkuu
Aiseee, una ulemavu gani wewe mpaka ushindwe kutafuta pesa!? Ona sasa unaadhirika kwa kupenda mseleleko!Mshangazi kanikwida nakunipiga kama mwanae katumia unene wake kama siraha dhidi yangu, kanilalia nikashindwa kuinuka akaanza kunipiga makofi ya mgongo hachagui, nilipojitahidi kuinuka akanizoga kwenye kona huku amenikaba vilivyo!
Akaona haitoshi kwa kutumia kiganja chake kinene akaamua aumize mali zangu za asili na akaniita mimi "zwazwa". Kisa cha haya yote alifuma meseji ya mwanamke mwengine na nikashindwa kuitolea ufafanuzi ulioeleweka!.
Hata hivyo sijapenda kwa alichokifanya huu ni ukiukwaji wa haki za kibinadamu! Nafikiri anafaa kabisa kukutana na vyombo vya sheria sema naona aibu nitaonekana janamume lisilona staha!
Kwani kile chombo cha haki za wanaume kimefia wapi, sio kwa maumivu haya amening'ata mpaka kwenye mbavu.
Hahaa πAiseee, una ulemavu gani wewe mpaka ushindwe kutafuta pesa!? Ona sasa unaadhirika kwa kupenda mseleleko!
Kiingereza gani hicho? Hapo ndio walifeli...1 people are here
Wee kijana njo mtaani hapa πππMhusika kagoma, tulitaka tuwakalishe chini KENZY na Poor Brain waachane na mashangazi... Nageuka nyuma mr kenzy hayupo katoroka na mabegiπ
Hahaa πWee kijana njo mtaani hapa πππ