Wabongo tumezidi kwa kweli, ukipita saa tatu watu wapo baa, wanafanya kazi saa ngapi kama sio ufisadi. Kuna watu hata wahajui ladha za vitanda vyao maana ni kilaji na totozi kwa kwenda mbele bila kusahau wapambe, Tutafika kweli? Tunahitaji kubadilika, kila kitu kwa kiasi.