Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unasoma Bcom, PSPA au education na unataka kuajiriwa anza kushiriki mbio za mwenge unaweza ukatunukiwa ukuu wa wilaya. Kama hauna nia ya kuingia kwenye siasa tumia boom lako la kwanza kama mtaji wa kufanya biashara. Nimeshuhudia watu wana PHD kwenye hizi taaluma na bado wanagongea bia. Kama umemaliza degree yako nakushauri somea ufundi wowote unaohusiana na ujenzi. Seremala, plumbing au umeme. Ukimaliza andaa team yako ya watu waaaminifu nenda kwenye site kubwa omba kuuziwa kazi kwa ujumla. Utapiga hela mpaka utakimbia.Why iwe udsm na mzumbe tu?kwa nini wasitoe equal chance na kwa vyuo vingine?
Sio kirahisi ivo mzee nani akupe tenda kwenye site kubwa bila Kujua Experience yako au reputation yako kwenye industry izo construction works zote zina taka muda mrefu kugain trust kwa clients it's not a one night stand mzee, Na tayari watu wapo Sokoni and they are much more experienced na reputation zao ziko very high, Sizuii watu kuengange na izo activities ila zina take muda na lazima uwe patient enough kuwin SokoKama unasoma Bcom, PSPA au education na unataka kuajiriwa anza kushiriki mbio za mwenge unaweza ukatunukiwa ukuu wa wilaya. Kama hauna nia ya kuingia kwenye siasa tumia boom lako la kwanza kama mtaji wa kufanya biashara. Nimeshuhudia watu wana PHD kwenye hizi taaluma na bado wanagongea bia. Kama umemaliza degree yako nakushauri somea ufundi wowote unaohusiana na ujenzi. Seremala, plumbing au umeme. Ukimaliza andaa team yako ya watu waaaminifu nenda kwenye site kubwa omba kuuziwa kazi kwa ujumla. Utapiga hela mpaka utakimbia.
Inachukua muda lakini sio zaidi ya miezi sita.Rafiki yangu jaribu uone kuna watu wanajenga maghorofa bila kuajiri kampuni. Vile vibao vya vibali unaviona hapo site vinakutisha. Tembea uone unajua wiring ya ghorofa 2 storey unalipwa sh ngapi ? Tatizo watanzania mmekariri. Naongea kitu ambacho nimeshuhudia kwa macho yangu sio nadharia. Nishawahi kumuuzia a dogo kazi ya 1.2 m akimaliza ndani ya wiki na hiyo ni hela ya ufundi. Mimi ni Civil Engineer kuna vijana wanachukua tenda za kusuka NONDO wanapiga hela mpaka unafurahi.Sio kirahisi ivo mzee nani akupe tenda kwenye site kubwa bila Kujua Experience yako au reputation yako kwenye industry izo construction works zote zina taka muda mrefu kugain trust kwa clients it's not a one night stand mzee, Na tayari watu wapo Sokoni and they are much more experienced na reputation zao ziko very high, Sizuii watu kuengange na izo activities ila zina take muda na lazima uwe patient enough kuwin Soko
Hii ilikua zamani mkuu kipImdi hicho hizi kozi za BCOM ipo UDSM na BAF (MZUMBE) na matangazo mengi ya ajira yalikua hivyo,miaka hii huwezi kutana na kitu kama hichoWhy iwe udsm na mzumbe tu?kwa nini wasitoe equal chance na kwa vyuo vingine?
Damn Fool..Udsm diyo mama lao, akina teku na sauti alikosoma GENTAMYCINE ni kidwanzi sana. Nasubiria tusi la gen
Doh unamaanisha kwamba upo umejiajiri unapiga hizo kazi sio? Kwa sababu mimi mwenyewe ninasomea Civil Engineering ningelipenda unisanue jinsi mambo yanavoenda huko mtaani!Inachukua muda lakini sio zaidi ya miezi sita.Rafiki yangu jaribu uone kuna watu wanajenga maghorofa bila kuajiri kampuni. Vile vibao vya vibali unaviona hapo site vinakutisha. Tembea uone unajua wiring ya ghorofa 2 storey unalipwa sh ngapi ? Tatizo watanzania mmekariri. Naongea kitu ambacho nimeshuhudia kwa macho yangu sio nadharia. Nishawahi kumuuzia a dogo kazi ya 1.2 m akimaliza ndani ya wiki na hiyo ni hela ya ufundi. Mimi ni Civil Engineer kuna vijana wanachukua tenda za kusuka NONDO wanapiga hela mpaka unafurahi.