Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,750
Yaani natazama international News kote naona sioni sehemu ambayo inautaja uchaguzi huu wa Tanzania ,upo wa Brazil,Upo wa Somali au wamesahau kama nasi leo WaTz wanachagua Raisi ,basi wafuate madini yetu tu ? Au wanasubiri tutumbuane matumbo na kutoana machango ?? Ndio watangaze ingawa BBC lakini hawatoi kwenye Intenational level !!!