Yaani natazama international News kote naona sioni sehemu ambayo inautaja uchaguzi huu wa Tanzania ,upo wa Brazil,Upo wa Somali au wamesahau kama nasi leo WaTz wanachagua Raisi ,basi wafuate madini yetu tu ? Au wanasubiri tutumbuane matumbo na kutoana machango ?? Ndio watangaze ingawa BBC lakini hawatoi kwenye Intenational level !!!

Hawa huwa wanapenda sehemu zenye machafuko tu. Uchaguzi wenye amani sio nyuzi kwao...
Yaani natazama international News kote naona sioni sehemu ambayo inautaja uchaguzi huu wa Tanzania ,upo wa Brazil,Upo wa Somali au wamesahau kama nasi leo WaTz wanachagua Raisi ,basi wafuate madini yetu tu ? Au wanasubiri tutumbuane matumbo na kutoana machango ?? Ndio watangaze ingawa BBC lakini hawatoi kwenye Intenational level !!!
everybody knows that this is not an election but rather an exercise to erect CCM leader.
Sijaona kwenye international news kwa week tatu mfululizo.
CNN na BBC wametangaza kwa kifupi sana ... na wamesema CCM inakumbana na upinzani ambao haujatokea tangu uchaguzi wa vyama vingi uanze...Nilikuwa nawatch CCN apa nkaona hola nkaenda BBC nkaona hola.
Tz chini ya CCM tumefulia