Mushi_plus
New Member
- Sep 24, 2024
- 4
- 3
Habari za Muda huu wanaJF,
Kuna kitu napenda kufahamu kuhusu UCHAWI WA MONDESTA. Origin yake niwapi na pia unatumia majini ya chuma ulete au?
Nauliza hivyo maana huku mtaani kwetu asilimia 70 ya kaya wamejiunga na hiyo kitu na wanaitangaza kabisaa wazi wazi na imekua kama fashion mitaani kwetu.
Napenda kujua kitu na mimi nisije angamia au ndugu zangu wakaingia huko.