Huu udhaifu CHADEMA mtaurekebisha lini? Msemaji ni Makene au Lema?

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
245
Reaction score
314
Taasisi makini huweka utaratibu wa viongozi wake kutoa taarifa. Haiwezekaniki kila kiongozi awe msemaji wa taasisi haswa ya kisiasa. Nidhamu inakuwa zero ikitokea hivyo.

CHADEMA ni taasisi ya ajabu! Inaye msemaji ambaye kama wengine naye ni mchaga. Ndugu Makene. Japo haenei kwenye nafasi lakini ndiye msemaji rasmi. Huyu haenei kwa kuwa amekuwa kama mpiga debe stendi. Kila kitu hata cha kipuuzi anaitisha press anatoa upupu. Msemaji makini wa taasisi kama yake haongei hovyohovyo wala hatoi taarifa kwa kila jambo. Inatakiwa msemaji rasmi siku akisema anatoa taarifa watu wote wawe na hamu ya kumsikiliza wakitegemea atatoa taarifa nzito. Makene yeye hata Mwenyekiti akiumwa na mbu anaitisha press!

Anyway, ndie msemaji rasmi tunaweza kumvumilia. Tatizo liko kwa mtu anaitwa Godbless Lema.
Huyu yeye anaweza kuitisha press akatoa taarifa za kichama kila anapojisikia. Utadhani hajui chama chake kina msemaji anaitwa Makene. Na kuna saa ukimtizama usoni utashindwa kubaini endapo kaamka na mbege kichwani.

Ni katika press aina hii Lema alibainisha ndoto yake ya kutabiri kifo! Ndoto iliyosababisha apate ukazi wa muda gereza la Kisongo. Juzi hapa Lema kaandaa press eti ya kumshauri Rais kuhusu waimba mapambio. Lema kasahau hajawahi kuacha kumsifia Mbowe.Ukitizama press ile ndio utajua mbeke si chai! Hakika Lema alikuwa under influence of some drug!

Lakini hii ni ishara kuwa ndani ya CHADEMA hakuna anayethubutu kumweka Lema kwenye mstari! Sio Mbowe wala Kamati au Baraza Kuu. Lema is untouchable ndani ya CHADEMA. Hakika Mwenyekiti anamuogopa Lema. Ni Lema pekee ndiye anaweza kuitisha press na kutoa taarifa kana kwamba na yeye ni msemaji wa chama kama Mchaga mwenzie Makene. Msigwa, Halima, Mnyika, Kubenea, Heche, Selasini, Bulaya na Sugu hawathubutu!

Ndipo tunapaswa kujiuliza hivi ikiwa CHADEMA inashindwa kuwa na msemaji mmoja wakiwa upinzani, je tukiwapa nchi? Si watakuwa na waropokaji watakaoweza kuangamiza Taifa? Hivi kama Mbowe anamuogopa aliye chini yake tukimpa yeye au mtu wa chama chake Urais ataweza kuhakikisha huyo Rais hafanyi atakavyo?

Hivi kwa uhuru huu alionao Lema wanaodai CHADEMA ni chama cha Wachaga wanakosea? Msemaji rasmi Mchaga, Mropokaji Mchaga, mwenyekiti Mchaga.

Hebu chadema mkanyeni Lema asipore nafasi ya Makene. Bila hivyo tuhuma za kuwa nyie ni kikundi cha Wachaga haziepukiki.

Lema hebu heshimu nafasi ya Makene, ndiye msemaji. Mbona CCM wanamheshimu Polepole? Nyie vipiiii? Hivi kweli wapiga kura waache Chama chenye taratibu wafuate chama ambacho hakina taratibu zinazoeleweka?

Aaargh!
 
makonda naye ni msemaji wa chama au nyani haoni
 
Wewe unauliza kama nani?kwani Makene kazi yake ni nini?Acha upumbavu
 
Chadema ni ukoo wa kambale; ''baba ana ndevu,mama ana ndevu na watoto wana ndevu...''
 
Nani kakwambia Tumaini Makene in mchaga? Acha kukariri dogo. Unataka kuipa mashiko hoja yako dhaifu kwa kuingiza jambo la ukabila, lakini pia nikwambie umeshindwa. Labda kama hujui nikusaidie Tumaini Makene, ni mwenyeji wa kanda ya ziwa, nyumbani kwao ni Nyehunge Sengerema. Kabila lake ni mjita.
 
Taasisi makini huweka utaratibu wa viongozi wake kutoa taarifa. Haiwezekaniki kila kiongozi awe msemaji wa taasisi haswa ya kisiasa. Nidhamu inakuwa zero ikitokea hivyo.

CHADEMA ni taasisi ya ajabu! Inaye msemaji ambaye kama wengine naye ni mchaga. Ndugu Makene. Japo haenei kwenye nafasi lakini ndiye msemaji rasmi. Huyu haenei kwa kuwa amekuwa kama mpiga debe stendi. Kila kitu hata cha kipuuzi anaitisha press anatoa upupu. Msemaji makini wa taasisi kama yake haongei hovyohovyo wala hatoi taarifa kwa kila jambo. Inatakiwa msemaji rasmi siku akisema anatoa taarifa watu wote wawe na hamu ya kumsikiliza wakitegemea atatoa taarifa nzito. Makene yeye hata Mwenyekiti akiumwa na mbu anaitisha press!

Anyway, ndie msemaji rasmi tunaweza kumvumilia. Tatizo liko kwa mtu anaitwa Godbless Lema.
Huyu yeye anaweza kuitisha press akatoa taarifa za kichama kila anapojisikia. Utadhani hajui chama chake kina msemaji anaitwa Makene. Na kuna saa ukimtizama usoni utashindwa kubaini endapo kaamka na mbege kichwani.

Ni katika press aina hii Lema alibainisha ndoto yake ya kutabiri kifo! Ndoto iliyosababisha apate ukazi wa muda gereza la Kisongo. Juzi hapa Lema kaandaa press eti ya kumshauri Rais kuhusu waimba mapambio. Lema kasahau hajawahi kuacha kumsifia Mbowe.Ukitizama press ile ndio utajua mbeke si chai! Hakika Lema alikuwa under influence of some drug!

Lakini hii ni ishara kuwa ndani ya CHADEMA hakuna anayethubutu kumweka Lema kwenye mstari! Sio Mbowe wala Kamati au Baraza Kuu. Lema is untouchable ndani ya CHADEMA. Hakika Mwenyekiti anamuogopa Lema. Ni Lema pekee ndiye anaweza kuitisha press na kutoa taarifa kana kwamba na yeye ni msemaji wa chama kama Mchaga mwenzie Makene. Msigwa, Halima, Mnyika, Kubenea, Heche, Selasini, Bulaya na Sugu hawathubutu!

Ndipo tunapaswa kujiuliza hivi ikiwa CHADEMA inashindwa kuwa na msemaji mmoja wakiwa upinzani, je tukiwapa nchi? Si watakuwa na waropokaji watakaoweza kuangamiza Taifa? Hivi kama Mbowe anamuogopa aliye chini yake tukimpa yeye au mtu wa chama chake Urais ataweza kuhakikisha huyo Rais hafanyi atakavyo?

Hivi kwa uhuru huu alionao Lema wanaodai CHADEMA ni chama cha Wachaga wanakosea? Msemaji rasmi Mchaga, Mropokaji Mchaga, mwenyekiti Mchaga.

Hebu chadema mkanyeni Lema asipore nafasi ya Makene. Bila hivyo tuhuma za kuwa nyie ni kikundi cha Wachaga haziepukiki.

Lema hebu heshimu nafasi ya Makene, ndiye msemaji. Mbona CCM wanamheshimu Polepole? Nyie vipiiii? Hivi kweli wapiga kura waache Chama chenye taratibu wafuate chama ambacho hakina taratibu zinazoeleweka?

Aaargh!
Kitu ambacho hufahamun Lema ni mtu wa Mihemko sasa tatizo la mihemko unaweza mihemko ikakuchukua ukajikuta ukitenda jambo au kusema bila kufikiri sawasawa. Mwishowe hujutia kwa alicho kifanya.
 
Pilipili usiyoila yakuwashia nini?
 
Ndio unajifanya hujui kuwa msemaji wa ccm ni Musiba?
 
Msemaji wa CCM ni Polepole au Bashiru au Musiba
 
Toka Musiba aanze lopolopo umweshawahi kumsikia pole pole
 
Kigololi kimeshuka unatafuta bwana Kwa nguvu
 
Ukiangalia kinachoendelea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatambua ni chama gani kinaogopwa!
 
Back
Top Bottom