Mambo mengi gan hayo??? Ya TIFUEFU NA YANGA au??Wiki iliyopita iliingiliwa na mambo mengi sana, bila shaka hiyo ni mojawapo ya sababu ya ukimya uliopo
Pia sikukuu ya Eid iliingilia katiMambo mengi gan hayo??? Ya TIFUEFU NA YANGA au??
Tuvute subira hadi kesho tutapata majibu kamiliMh sidhan kama hii inaweza ikawa sababu kubwa kwakuwa sikukuuu ya eid ilikuwa inafahamika mkuu, labda mchakato wa kuchambua wenye vigezo umekuwa mzitooo....
Serikali ya CCM? Au ya Jiwe?? Sorry kumbe siku hizi ni ya nani? Sijasikia haya maneno muda mrefuKama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback zozote na tarehe 17 ni siku ya kesho.
Sasa sijui wanalichukuliaje hili swala?
Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSerikali ya CCM? Au ya Jiwe?? Sorry kumbe siku hizi ni ya nani? Sijasikia haya maneno muda mrefu
Vijana walijitokeza kama wote ivi kwakua mi nilikwenda kumchukulia mdogo wangu aliehitimu form 4 nilikuta watu wengi sana mpaka ikashikana kuchukua siku ya kwanza ikabidi nimwambie aje aende akuchue mwenyew na alifanikiwa ila watu walikuwa wengi mnoooTatizo vijana hawaoni thaman ya hi kitu yaan
KivipiTatizo vijana hawaoni thaman ya hi kitu yaan
Pia uzinduzi wa lile Benz la mzee wa ruksa uliingilia kati,,,pia mechi ya kaizer chiefs & Simba uliingilia kati,,[emoji23][emoji23]Pia sikukuu ya Eid iliingilia kati
HahahaaaPia uzinduzi wa lile Benz la mzee wa ruksa uliingilia kati,,,pia mechi ya kaizer chiefs & Simba uliingilia kati,,[emoji23][emoji23]