Brightson brighton1
New Member
- Feb 16, 2023
- 4
- 1
Wazee wanalazimisha niende Advance ndo shida iyoKama ni mjanja nenda chuo achana na advance
Sasa HGE si hawata nipokea maana math nina FNenda chuo dogo; HGE au HGL au HKL ukimaliza tulia uchague kozi ya kusoma ile ambayo unahisi utaipenda zaidi.
Kasome HGL ama HKL tu achana na masomo ya hesabuNina division 2.21, nina grade C masomo yote isipokuwa nina D ya Physics na F ya Math. Je, nikasome combi gani Advance?
Usijaribu cbg, nenda kozi ya arts tuNenda CBG
Au Diploma koz za Afya
Jikite kwenye vishazi, virai na nomino,Nina division 2.21, nina grade C masomo yote isipokuwa nina D ya Physics na F ya Math. Je, nikasome combi gani Advance?