Huu ugojwa gani?

Huu ugojwa gani?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Sio fangus, hii kucha inachomoza ikiwa hivyo inavyoonekana. Mara nyingi ni kidole gumba na hiki cha kati. Pia mguu wa kulia kidole cha kati huwa kinapata hili tatizo japo kwa sasa halipo.

Kuna maumivu kidogo. Hili tatizo lina muda sasa linakuja na kupotea bila kutumia dawa yoyote.

Kama kuna tiba na dawa naombeni ushauri.

Screenshot_20190906-141705_Gallery.jpg
20190906_141616.jpg
 
Una kibamia kifupi ila kinene sio mbaya huwa kitamu
Kidole gumba hicho!
Wewe msikilize Rakim na vigezo vyake ya kibamia. Issue hapa sio udogo issue ni how u can use it to kick ur ass.

Sasa hujui dawa ya hili tatizo langu?
 
Back
Top Bottom