Cappadonna
New Member
- Aug 5, 2019
- 3
- 0
Ndg zangu habari za kazi,Mimi nina tatizo la kuhis naumvu wakat wa kukojoa,pia pale mkojo unapokuwa unaishia ishia mwishon naona matone ya damu,hili shida itakuwa ni nini,na matibabu yake yapoje?
Naomba ushaur wenu
Naomba ushaur wenu