Huu ugonjwa wa kuku ni ugonjwa gani, na je natibu vipi?

Aziz Ki Mayele

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
899
Reaction score
1,955
Kuku wameshakua wakubwa ila wanakuwa wanazubaa na kujikunyata namna hii halafu asubuhi unakuta wamekufa.. Nimepoteza kuku kama 18.

Hawafi mchana, utakuta tuu asubuhi wamekauka.

 
Watenge wagonjwa na wazima then wote uwape dawa inayoitwa OTC 20%,huo ni ugonjwa wa mdondo au kideli ambao kimsingi hutibika kwa chanjo, jitahidi kuzingatia chanjo tangu wakiwa wadogo.
 
Watenge wagonjwa na wazima then wote uwape dawa inayoitwa OTC 20%,huo ni ugonjwa wa mdondo au kideli ambao kimsingi hutibika kwa chanjo,jitahidi kuzingatia chanio tangu wakiwa wadogo.

Hapo ndo penyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…