Huu ujasiriamali wa kujaziana mabegi/vichupi insta!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Kuna marafiki wamekuwa na tabia ya kufanya ujasiriamali mitandaoni...
Sasa wameshaniboa unakuta mtu unafungua insta yako uone walimwengu wanaselfikaje, alafu unakutana na mtu mmoja kajaza picha kama kumi hivi za biashara yake ya mabegi... Yani inabidi upite msitu mkali wa mabegi ndipo ufikie picha za marafiki.

Mwingine hivi majuzi kaniboa. Kajaza vichupi vya kina dada. Mpaka umalize kuperizui mtu unakuwa ushasimamisha kwa kuvuta picha jinsi kitumbua kinavyotuna mwanamke akivaa zile nguo.

Kwa kweli huyu aliniudhi na nikamu unfollow right away. Sasa amebaki huyu wa mabegi. Ni mtu ambaye tumezoeana kishkaji. Nashindwa nianzie wapi kumu unfollow maana anautumia vibaya uhusiano wetu kwa kunichafulia page yangu...

Basi kama una biashara yako. Kwa nini hayo mabegi ishirini usiyaweke kwa pamoja uyapige picha moja ili yule mwenye interest akufate inbox ndio uanze kumtumia picha moja moja!
Jamani hata kama ni bishara au ajira binafsi, msitumie vibaya urafiki tulionao...
 
Yaani kuona picha ya pichu tu unasimamisha mnara, we kijana punguza tamaa
 
Yaani kuna page nshazi-unfollow!!! Matangazo post 20 alafu unakutana na post ya maana moja. Wanaboa kweli. Ata kama ndo kuingiza pesa basi waheshimu followers wao na kuwafanya waendelee kuwafollow.
 
Hapo uliposema upige picha kwa mara moja kuliko kutuma mojamoja nakuunga mkono kaka
 
kwani picha zanini ndio huwa unazipenda?waambie wawewanazituma.
 
wengine wanaku-tag kabisa..anakwambia umnunulie baby wako
 
Bora huyo mwenye mabegi
Mi wananikera wenye page za biashara afu haweki picha za biashara kila ukifungua unakuta kajaza sura lake unajiuliza hili sura linauzwa au
 
Mambo ya Insta peleka huko huko Insta Ebooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…