huo ndio utaratibu wa kuzika kiongozi wa kitaifa anapokufaMhe. Rais ameketi katikati. Na tunazingatia kuwa upande wa kushoto ameketi mjane na familia ya Hayati Lowassa.
MKono wake wa kuume wamekaa viongozi wa kitaifa. Lakini swali langu ni kuwa baada ya Rais ameketi CDF yaani Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Mnkunda., halafu baada ya hapo anafuata Makamu wa Rais na wengine kiprotokali.
Huu mpango wa kukaa umezingatia vigezo gani?
Mambo ya bara hayamhusu labda ingekuwa kizimkazi, pambaneni na hari zenuCCM km CCM ktk Moja na mbilii ,,,mama ajuee akitokaa hapo msiban shidaa ya umeme ipo pale pale na ajuee wengine wamekosa kuangalia live kisa Tabasco wamekataa saa Moja tu asubuh
Nadhani ni zile paradeHuu mpango wa kukaa umezingatia vigezo gani?
Ungekaa kimya na kuacha wajuzi watirirke, hakuna ubaya kujifunza kupitia wenginehuo ndio utaratibu wa kuzika kiongozi wa kitaifa anapokufa
Kauli ya kipuuzi kabisa hiiCCM km CCM ktk Moja na mbilii ,,,mama ajuee akitokaa hapo msiban shidaa ya umeme ipo pale pale na ajuee wengine wamekosa kuangalia live kisa Tabasco wamekataa saa Moja tu asubuh
Nilidhani peke yangu ndo sijaelewaMhe. Rais ameketi katikati. Na tunazingatia kuwa upande wa kushoto ameketi mjane na familia ya Hayati Lowassa.
MKono wake wa kuume wamekaa viongozi wa kitaifa. Lakini swali langu ni kuwa baada ya Rais ameketi CDF yaani Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Mkunda., halafu baada ya hapo anafuata Makamu wa Rais na wengine kiprotokali.
Huu mpango wa kukaa umezingatia vigezo gani?