Kuna style ya ulaji wali kwangu ni mpya. Mdau anatengeneza Tonge la wali na kuchovya kwenye mchuzi kama ugali halafu linapelekwa mdomoni.
Ulaji huu unasambaa sana kanda ya ziwa. Kama hujazoea ni changamoto kiasi hasa ukiwa mgeni wa kaya ambayo hutumia sahani moja wakati wa kula.