Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 422
- 802
Kama kichwa kinavyojielezea, mwakani Mungu akijalia nitatimiza miaka 27(full-adult man). Ila itakubidi unielewe kama nilivyo mfukoni naunga unga tu maisha pamoja na kujaaliwa kadegree kutoka kile chuo cha taifa kwa sifa.