Huu Urari wa Viingilio vya Taifa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) kundi G siku ya Jumatatu kati ya Tanzania dhidi ya Chad,

Viingilio vya mchezo huo vimegawanyika katika makundi matatu, ambapo kiingilio cha juu kitakua shilingi elfu ishirini na tano (25,000) kwa VIP A, na shilingi elfu ishirini (20,000) kwa VIP B, na kwa viti vya rangi ya bluu, kijani na orange itakua shiligi elfu tano (5,000).


Yaani Kutoka 5000-20,000 halafu 25,000 huwa sIelewi kabisa na matokeo yake unakuta watu wa 5000 wamejazana jukwaa la 20,000

HALAFU NAPE ULISEMNA TAREHE 9 ITAKUA MWISHO WA TIKETI ZA KUCHANA ZIWE ZA KIELEKTPRNIKI NA TAREHE IMEPITA UMEKAA KIMYA TU

NINA HASIRA SANA!!!
 
unlucky TFF, wanalazimika kurudisha mpunga...mechi haitokuwepo
 
Tz tunaongoza kwa kuweka maazimio yasiyotekelezeka
 
Najua FAT a.k.a TFF wstakuwa wamelaani sana kuairishwa Kwa hii mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…