ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Shukran mkuuKumtega nyani kwa werevu wake --- kumgeuzia mtu kibao kwa maneno au matendo yake --- kumtendea mtu wema (kinyume na hiana yake) ambao ni sawa na wema mchungu kwake.
Kumkoma = kumtega/kumnasa
Giladi = werevu, hila, ujanja ambao huendekezwa kwa upofu.
Ni usemi wa kizaramo sio kiswahili sanifu... Yaani ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni utaona hurumaNimekuwa nausikia sana ukitumiwa sehemu mbalimbali lakini nimeshindwa kabisa kujua maana yake na matumizi yake.
"Kumkoma nyani giladi"
Kumkoma na giladi huwa ina maana gani na inatumikaje?
Mmh hapanaKumtega nyani kwa werevu wake --- kumgeuzia mtu kibao kwa maneno au matendo yake --- kumtendea mtu wema (kinyume na hiana yake) ambao ni sawa na wema mchungu kwake.
Kumkoma = kumtega/kumnasa
Giladi = werevu, hila, ujanja ambao huendekezwa kwa upofu.
Vipi kuhusu " Muenda tezi na omo marejeo ngamani" hii inamaanisha nini na inatafsirikaje?Ni usemi wa kizaramo sio kiswahili sanifu... Yaani ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni utaona huruma
Akikujibu hii wallah nafuturusha Dar es Salaam nzimaVipi kuhusu " Muenda tezi na omo marejeo ngamani" hii inamaanisha nini na inatafsirikaje?
Kwanini mkuu? Mimi hii misemo nimekuwa naisikia sana tu lakini sijawahi kuelewa tafsiri yake achilia mbali maana zakeAkikujibu hii wallah nafuturusha Dar es Salaam nzima
Hiki ni Kiswahili cha pwani, maana yake ni ...[emoji1541]Vipi kuhusu " Muenda tezi na omo marejeo ngamani" hii inamaanisha nini na inatafsirikaje?
NimeshamjibuAkikujibu hii wallah nafuturusha Dar es Salaam nzima
Wazo zuriNimeshamjibu