Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Khaaaaaaaaaaa!!!Du mshapata msamiati mpya, kaazi kweli kweli...............................
Jamani hivi uzee huu, kweli nihangaike na vimwana? si nitafia kwenye utukufu, mimi sitaki tena hayo mambo, nimeshatosheka......!
Dingi, hizi topic unaleta huku wakati maza amesafiri zinanifanya nitafakari huwa unawaza nini ukiwa umejifungia chumbani kwako! Na tumekuomba tulale humo chumbani na ww kama wakati tukiwa wadogo umekataa! Haya weeh!
Mi nakataliana na hiyo takwimu ya 70 to 80% ya wanaume hutoka nje ya ndoa. I believe ni 99.5% lakini sina data. I don't trust any man, not even the Pope himself! I don't even trust u dad, lol! Ngoja niende zangu shule mie nisije nika-Mwanasha!
Kama ndivyo basi hakuna atakayepona. Na UKIMWI hautaisha.
haki ya Mungu Mtambuzi leo nitasutwa).
Wanaume wanashika bendera aisee, hata usiemdhania!!! Wengine hata pesa hawana ila wamekazana tu kulimbikiza madeni na kushindisha njaa watoto mradi tu akaenjoy na nyumba ndogo dah!!! Wamama na ndoa zao nao kazi kutoa vitisho tu kwa mabinti wa watu ili wawaachie viserengeti boys vyao...........yaani chain ya ukimwi ndo inazidi kustawishwa tu!
Na kinachosababisha wanawake wengi kucheat ni nyie nyie wanaume!
Naungana na dada yangu king'asti hapo juu,rate ya wanaume iko juu zaidi kuliko ya wanawake,
Na hii inatokana na sababu no 1,2, na no 3,hata hii ya no 4 ni nadra sana kwa wanawake bali wanaume ndio kbs siku hizi wanaitumia sana hasa akiwa na nafasi nzuri kiuchumi,umaarufu na madaraka.
Mkuu,
hizi tafiti zinanichanganya mno.... sasa hawa 80% wote wana-cheat na nani???
Naambiwa eti ni nadra sana kwa mwanamke kucheat
Khaaaaaaaaaaa!!!
Niseme nisisemeeee.............................!!!