Huu utafiti wa 1/4 ni kichaa!

Jodeo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
1,286
Reaction score
1,328
Nawaza tu kwa sauti; watafiti waliofanya kale ka-utafiti na kuja na majibu eti mmoja kati ya wanne ni kichaa!

Huo utafiti umewapa kinga Hao watafiti au na wao wanahusika kwenye hiyo 1/4?! Tusije tukawa tunatumia data kutoka kwa vichaa!

Yani kwa mfano Hao watafiti walikuwa 16, ina maana wanne (4) kati yao ni vichaa?! Tena inawezekana SENIOR researchers ndiyo Hao vichaa!

Naomba kufahamu; hawa watafiti wao walipimwa akili kwanza? Na majibu yalikuwaje?

Duh! Maskini watafiti vichaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…