Huu utani lazima polisi

Jamani,jamani!!!!!!huyo ni Le Mutuz au nini???
 
Mbona huyu jamaa kama namfahamu vile!!.....Huyu c ndo yule anaanika Shati kwenye VITZ na linatosha???
 
Sijui kwa nn anafanyiwa hivi huyu wakati anaishi maisha yake!!
 
Wajukuu hao wanacheza na babu yao...babu mwenyewe hajui kuweka mipaka basi ndo wajukuu wanaingiza mikono hadi ndani ya msuli...

haaaaaaaaaaa...ndani ya msuliii....
 
Mjini hapa ukichukiwa yaani vioja vyake ni hatari maana ni zaidi ya vya wakwe au mama wa kambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…