Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ni utapeli mkongwe kidogo mpaka sasa bado unaendelea. Bima gani eti unalipwa mpaka pale utakapolazwa kuanzia siku tano?
Tena ukitoka ndipo uanze kufuatilia.
Watanzania wengi wako busy na kusaka ugali, pia hawajui Sheria za msingi. Hawajui waanze wapi kupata haki zao.
Kinachofanyika watu wanapigwa msasa wanakubali kuungwa baada ya muda wanaomba kujitoa au line wanaweka kando kuogopa makato ya bima.
Mmoja wa mtu wangu wa karibu ni mfanyakazi wa hizo bima hewa, nimemuhoji maswali mengi alichoniambia watu wengi hasa wa vijijini wanaungwa kwa shinikizo tu.
Serikali ifike mahali iwaonee huruma wananchi. Wengi hawana maarifa na exposure.
Wanajikuta tu wameungwa na vipesa vyao vya chumvi kuchukuliwa na mapebari.
Hizi bima za simu ni utapeli.
Kama kweli wana nia nzuri wawape bima ambayo siku wakiumwa watazitumia kujitibia.
Naumia sana ninapoona serikali inashindwa kumlinda mwananchi wake na vitu vya kuumiza.
Huku mikopo ya hovyo ya mchina, kule bima ya hovyo, pale bahati nasibu za hovyo serikali iko kimya.
Mwananchi akifungua redio anasikia promo ya mamilioni ya pesa za mshiko nje nje