rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,238
- 5,106
Katika utaratibu wa kawaida huwezi kuingia kwenye ndege bila barakoa. Huu niutaratibu mzuri sana ambao tumeuzoea tu. Cha kuchekesha hapo ni kwamba baada ya kufika juu, abiria mneletewa chakula na barakoa zote zinavuliwa na maisha yanakuwa kama kawaida.