Hapa ndio pale ambapo gari italazimika kufungwa vipuri orijino kutoka kwa mjapani KYOTO au YOKOHAMA 😂😂😂Kwa TBS, ni tofauti lazima gari lifikie viwango, ndio wanatuma certificate TRA, ili mchakato wa kulipa kodi uendelee, kama hlijatimiza vigezo, litatolewa bandarini, na kupelekwa sehemu ukalitengeneze kwanza, ndio walikague tena!!
Mtapigwa mtachakaa, mie wala staki shida na RA yeyote. Nitanunua vigari chakavu kwa wazalendo wenzangu humu humu😂
usiwe mwepesi wa kupanic, tofauti ya utaratibu wa mwanzo na huu wa sasa ni kuwa mwanzo ukaguzi wa magari ulifanyika nje na mawakala na sasa ukaguzi utafanywa hapa hapa nchini.Sasa hayo matengenezo na ukaguzi vinawahusu nini lakini mbwa hawa?!
Kwanza wamekubaliana na nani kuhusu huo utaratibu usioeleweka?!
Kama system ya kwanza haikuwa na shida kwann wanaibadilisha sasa?! Mbona wamekalia upumbavu hawa watu lakini....?!
hilo kila mtu anafam jaribu kuelewa watu wanachokijadiliusiwe mwepesi wa kupanic, tofauti ya utaratibu wa mwanzo na huu wa sasa ni kuwa mwanzo ukaguzi wa magari ulifanyika nje na mawakala na sasa ukaguzi utafanywa hapa hapa nchini.
Hahahhaha yaan hapa mkuu ndoto zote za kununua gari zimepoteanimetoka juzi pale NIT kuipeleka ist kukagulkwa ili ipite na tbs kwa ajilli ya ukaguzi bwana kama una roho nyepesi unaweza mpga mtu ngumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],kuna masai amepeleka kapaso kake 4 piston akajiona kanunua chases no katakuwa kazima bwana bwana kwenye kutestiwa kamepigwa speed mpka 160km/hr.dah kigari mpka kikazima chenyewe akaambiwa akiweke pembeni wakati huo masai jicho jekunduuu