Huu utaratibu wa viongozi wa kisiasa Wakishachaguliwa kwenda Ofisini kwa Maandamano kuripoti unaleta Usumbufu kwa Wananchi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Afadhali Mzee Wassira yeye hakuwepo kabisa ofisi za CCM hivyo ni mtu mpya

Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti upya ofisini Kwa Maandamano

Msajili wa Vyama Vya siasa aliangalie hili linatuletea changamoto sana Tanganyika na Unguja

Ahsanteni 🐼
 
Na huu utaratibu mpya wa kukimbiza moto/mshumaa/mwenge nchi nzima pamoja na taifa zima kufanya birthday ya mtu 1 na matamasha ya Kizimkazi hujaona kuwa yanaleta usumbufu kwa wananchi na kuwapotezea muda wa kufanya shughuli zao za kiuchumi?
 
Afadhali Mzee Wassira yeye hakuwepo kabisa ofisi za CCM hivyo ni mtu mpya

Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti upya ofisini Kwa Maandamano

Msajili wa Vyama Vya siasa aliangalie hili linatuletea changamoto sana Tanganyika na Unguja

Ahsanteni 🐼
Utakuwa unamuingelea kada mkonge Steve Wasira

Nasikia watu wamfurika pamoja na wasaniii kibao
 
Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti upya ofisini Kwa Maandamano
Kule Morogoro kuna msafirishaji akiingiza magari mapya anayafanyisha parade mji mzima
 
Uko sawa hata hawa wanaondamana kumpongeza mtu siku yake ya kuzaliwa wanaleta msongamano.

Siku ya kuzaliwa ni binafsi na mtu akienda mbali sana aungane na wanafamilia na marafiki wa karibu kufanya tafrija ila hii haipaswi kuwa agenda ya siku nchi nzima media zote ni suala hilo lisilo na tija kwa taifa.
Screenshot_20250127-162353.jpg
 
Afadhali Mzee Wassira yeye hakuwepo kabisa ofisi za CCM hivyo ni mtu mpya

Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti upya ofisini Kwa Maandamano

Msajili wa Vyama Vya siasa aliangalie hili linatuletea changamoto sana Tanganyika na Unguja

Ahsanteni 🐼
Mbona hukupiga kelele kwa waliopitishwaa DDM na huku mkoani wanatupotezea mdaa kusema kuunga mikono maamuzi ya Kikao chao cha kujichaguaaa,na hawa wanaozunguka kujitambusha sio usumbufuuu
 
Afadhali Mzee Wassira yeye hakuwepo kabisa ofisi za CCM hivyo ni mtu mpya

Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti upya ofisini Kwa Maandamano

Msajili wa Vyama Vya siasa aliangalie hili linatuletea changamoto sana Tanganyika na Unguja

Ahsanteni 🐼
Pumba
 
Uko sawa hata hawa wanaondamana kumpongeza mtu siku yake ya kuzaliwa wanaleta msongamano.

Siku ya kuzaliwa ni binafsi na mtu akienda mbali sana aungane na wanafamilia na marafiki wa karibu kufanya tafrija ila hii haipaswi kuwa agenda ya siku nchi nzima media zote ni suala hilo lisilo na tija kwa taifa.
View attachment 3216678
Daaa tanzania raha.... hivi huu muda hawa watu wote wanaupata wapi????
 
Hivi jf inalipa kwa kila post? Jooh akishalewa komoni zake anajipostia tu.
 
Uko sawa hata hawa wanaondamana kumpongeza mtu siku yake ya kuzaliwa wanaleta msongamano.

Siku ya kuzaliwa ni binafsi na mtu akienda mbali sana aungane na wanafamilia na marafiki wa karibu kufanya tafrija ila hii haipaswi kuwa agenda ya siku nchi nzima media zote ni suala hilo lisilo na tija kwa taifa.
View attachment 3216678
Watanzania tuna hulka ya kujisahau tulikotoka,tulipo na tunakokwenda kwa maslahi ya Taifa.
 
Back
Top Bottom