johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Na huu utaratibu mpya wa kukimbiza moto/mshumaa/mwenge nchi nzima pamoja na taifa zima kufanya birthday ya mtu 1 na matamasha ya Kizimkazi hujaona kuwa yanaleta usumbufu kwa wananchi na kuwapotezea muda wa kufanya shughuli zao za kiuchumi?Afadhali Mzee Wassira yeye hakuwepo kabisa ofisi za CCM hivyo ni mtu mpya
Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti upya ofisini Kwa Maandamano
Msajili wa Vyama Vya siasa aliangalie hili linatuletea changamoto sana Tanganyika na Unguja
Ahsanteni 🐼
Utakuwa unamuingelea kada mkonge Steve WasiraAfadhali Mzee Wassira yeye hakuwepo kabisa ofisi za CCM hivyo ni mtu mpya
Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti upya ofisini Kwa Maandamano
Msajili wa Vyama Vya siasa aliangalie hili linatuletea changamoto sana Tanganyika na Unguja
Ahsanteni 🐼
Kule Morogoro kuna msafirishaji akiingiza magari mapya anayafanyisha parade mji mzimaSasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti upya ofisini Kwa Maandamano
Kwani Lisu alilipoti ofisini Kwa maandamano?🐼unamtafuta LIssu ausiyo
tangazo lakukabidhiwa ofisi limeonesha wanachama watamsindikizaKwani Lisu alilipoti ofisini Kwa maandamano?🐼
Mbona hukupiga kelele kwa waliopitishwaa DDM na huku mkoani wanatupotezea mdaa kusema kuunga mikono maamuzi ya Kikao chao cha kujichaguaaa,na hawa wanaozunguka kujitambusha sio usumbufuuuAfadhali Mzee Wassira yeye hakuwepo kabisa ofisi za CCM hivyo ni mtu mpya
Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti upya ofisini Kwa Maandamano
Msajili wa Vyama Vya siasa aliangalie hili linatuletea changamoto sana Tanganyika na Unguja
Ahsanteni 🐼
PumbaAfadhali Mzee Wassira yeye hakuwepo kabisa ofisi za CCM hivyo ni mtu mpya
Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti upya ofisini Kwa Maandamano
Msajili wa Vyama Vya siasa aliangalie hili linatuletea changamoto sana Tanganyika na Unguja
Ahsanteni 🐼
HayaPumba
Daaa tanzania raha.... hivi huu muda hawa watu wote wanaupata wapi????Uko sawa hata hawa wanaondamana kumpongeza mtu siku yake ya kuzaliwa wanaleta msongamano.
Siku ya kuzaliwa ni binafsi na mtu akienda mbali sana aungane na wanafamilia na marafiki wa karibu kufanya tafrija ila hii haipaswi kuwa agenda ya siku nchi nzima media zote ni suala hilo lisilo na tija kwa taifa.
View attachment 3216678
Watanzania tuna hulka ya kujisahau tulikotoka,tulipo na tunakokwenda kwa maslahi ya Taifa.Uko sawa hata hawa wanaondamana kumpongeza mtu siku yake ya kuzaliwa wanaleta msongamano.