Nasikiliza tbc taifa hapa. Wanamuhoji mshindi wa miss utalii. Yaani hajui chochote kuhusu tanzania. Anasema ataenda kushiriki miss utalii dunia n ataimba nyimbo za utamaduni. Mtangazaji anampa nafasi aimbe japo kidogo anachekacheka na haimbi. Ikiwa na maana hajui. Anasingizia sauti hana ile ya kuimba. Bado mtangazaji anamsisitiza aimbe japo kiitikio lakini ameshindwa. Huu ni ujinga bora hizo fedha zifanye mambo mengine ya msingi kuliko kuwekeza kwa vilaza kama hao.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums