Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Huu uume mbona unaandamwa hivyo...................................kuna nini hapo?
Hivi ukikatwa hata maisha tena yanakuwa kamahayana thamani kwako
Acha utani arifukwa hiyo mnamaanisha mwanaume akikata center bolt ama network ikikata ana-cease kuwa mwanaume? mi nilidhani ndo atapendwa zaidi na mkewe manake hata ule wasiwasi wa kuibiwa unaisha!
Jamani huko Kenya vuvuzela ni dili sana,mara nyingi wanavizia vuvuzela za walevi waliokata network. Huwa zinatumika kwa mambo ya kishirikina,híi nilipata toka kwa rafiki yangu Mkenya.
Maskini weee! mwanamme wawatu Dubai pia kuna babu wakiarabu alikatwa uume wake na mfanya kazi wake wa ki Ethiopia lakini yeye alisafirishwa Bangkok amepona lakini sijui kama utakua bado unafanya kazi,na huyo Mkenya ndio wameondoka nao kabisa mtumeee!